Selasa, 22 Mei 2012

Burudanikilasiku-Entertainment,Latest Music, Celebrity News, Fashions,TV shows and Video

Burudanikilasiku-Entertainment,Latest Music, Celebrity News, Fashions,TV shows and Video


D’Angelo, Maybach Music Group, Odd Future, & Rita Ora Join Jay-Z’s ‘Made in America’ Festival

Posted: 22 May 2012 07:01 AM PDT

Jay-Z

Jay-Z has announced part of the lineup for his inaugural "Made in America" festival. The two-day music extravaganza will take place in Philadelphia in September with 28 performers including D'Angelo, Maybach Music Group (Rick Ross, Wale, and Meek Mill), Odd Future, Rita Ora, and more.

Other artists on the diverse bill include Pearl Jam, Skrillex, Miike Snow, Afrojack, Calvin Harris, Passion Pit, Santigold, Dirty Projectors, X, Janelle Monáe, Prince Royce, Savoy (DJ set), and The Knocks.

Jay-Z will curate and headline the festival, which will be held on three stages in Philly's Fairmount Park on Sept. 1 and Sept. 2, with a percentage of proceeds benefitting the United Way Greater Philadelphia and Southern New Jersey.

A limited number of tickets go on sale at 10 a.m. EST today, with more to follow on Wednesday.

AY NA MARCO CHALI NDANI YA SOUTH AFRICA

Posted: 22 May 2012 06:44 AM PDT


Msanii Ambwene Yessaya(AY) na Marco Chali wako Africa ya kusini wakitengeneza video mpya ya mzeeya wa Commercial AY inayokwenda kwa jina la Party Zone ambayo yanaishoot ndani ya jiji la Johannesburg leo hii na kampuni ya Godfather ambao ndio watalaamu wanaowafanyiaga wasanii wakali wa Nigeria kama vile PSquare, D'Banj na wengine wengi. Hivyo mashabiki wasubiri mambo makubwa kutoka kwa AY.

WIZI WA KAZI ZA WASANII MBIONI KUPATIWA DAWA

Posted: 22 May 2012 01:21 AM PDT

Sehemu ya Wadau wa Jukwa
Mdau huyu alipongeza ujio wa mfumo huu lakini akataka Wasanii wahamasishwe kuingia katika mfumo ili kudhibiti uharamia.
Mdau na mkereketwa wa Sanaa na Jukwaa la Sanaa, Francis Kaswahili akiuliza na kuchangia mada kuhusu mfumo huo wa utambuzi na udhibiti wa bidhaa mbalimbali zikiwemo za Sanaa.
Mtendaji kutoka Kampuni ya Global Standard One (GS1), Andrew Karumuna akionesha moja ya kazi ya Msanii Judith Wambura (Lady Jay Dee) iliyowekewa alama maalum ya kimataifa ya utambuzi na udhibiti wa bidhaa kwenye Jukwaa la Sanaa wiki hii.Lady Jay Dee ni msanii pekee ambaye amekwishaingia na kuanza kunufaika na mfumo huu.
Katibu Mtendaji wa BASATA, Bw. Materego akisisitiza jambo wakati akiongea na wadau wa Sanaa kwenye Jukwaa la Sanaa la BASATA wiki hii. Alieleza kuwa, ni wakati sasa wa kuirasimisha sekta ya Sanaa.
Bi. Fatma Kange akiongea na wadau wa Sanaa kuhusu mfumo maalum wa kimataifa wa utambuzi na udhibiti wa bidhaa mbalimbali wakati akiwasilisha mada kwenye Jukwaa la Sanaa la BASATA mapema wiki hii. Kulia ni Mkurugenzi wa Idara ya Utafiti, Mafunzo na Habari, BASATA Godfrey Lebejo na Katibu Mtendaji wa BASATA, Ghonche Materego.
Na Mwandishi Wetu
Huenda kilio cha wasanii juu ya wizi wa kazi zao kikapungua kama si kufikia kikomo iwapo wasanii wataamka na kushirikiana na kampuni ya Global Standard One (GS1) ambayo imekuja na mfumo wa kimataifa wa kutambua na kudhibiti kazi za Sanaa.
Akizungumza wiki hii kwenye Jukwaa la Sanaa la Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA), Kaimu Mkurugenzi wa kampuni hiyo Fatma Kange alisema kuwa, mfumo huo wa kuziwekea alama ya utambuzi ya kimataifa (barcode) kazi za wasanii utasaidia kudhibiti uharamia kwenye sekta ya sanaa na kusaidia upatikanaji wa takwimu sahihi.
"Mfumo huu ni wa kimataifa, umekuwa ukitumika duniani kote miaka 38 iliyopita, hapa kwetu ni mpya kabisa. Ni mfumo wa kutambua bidhaa halali kwa kuziwekea alama maalum (barcode) ambayo itazifanya zitambuliwe kimataifa na kutokughushiwa" alisema Bi. Kange.
Aliongeza kuwa, mfumo huo unalenga kurasimisha sekta ya Sanaa kwa kuwafanya wasanii kwanza kujisajili na baadaye kazi zao kuwekewa alama maalum ambapo sasa watajua idadi halisi ya nakala (bidhaa za sanaa) walizozalisha, fedha walizoingiza na zaidi kutazuia kazi zao kuuzwa hovyo mitaani pasipokufuata taratibu.
"Lengo ni kazi za wasanii kutambuliwa kimataifa, kuuzwa kwenye maduka makubwa na kupewa thamani halisi. Wenzetu katika nchi zilizoendelea wako mbali katika hili, kazi zao zinauzwa kwenye art stores tu (maduka maalum ya kazi za Sanaa)" alisisitiza Kange.
Akieleza jinsi Wasanii watakavyojiunga, Bi. Kange alisema kuwa, wako kwenye mikakati ya kuwaelimisha Wasanii lakini akasisitiza kuwa, mfumo huo huendeshwa kwa wasanii wenyewe kuridhia na baadaye kazi zao kuwekewa alama hiyo ambapo hukatwa kiwango kidogo sana cha fedha baada ya kukubaliana na wasanii wote.
Kwa upande wake Katibu Mtendaji wa BASATA, Ghonche Materego alisema kuwa, kwa muda mrefu sekta ya Sanaa imekuwa ikichukuliwa kama ya burudani tu kwa hiyo muda umefika wa watanzania kuichukulia Sanaa kama biashara na kuipa thamani halisi.
"Kwa sasa Sanaa imekubalika, ule wakati wa kuiona kama burudani tu umepita. Hatuna ujanja lazima tuirasimishe sekta ya Sanaa" alisisitiza.
Aliwaahidi Wasanii kupitia mashirikisho na vyama vyao kuwa, kutakuwa na vikao vya mara kwa mara na kampuni hii ili kuona ni kwa kiwango gani suala la udhibiti na utambuzi wa kazi zao kupitia nembo hii linaweza kutekelezwa.

Wiz Khalifa Has the Best Night of His Life

Posted: 22 May 2012 01:14 AM PDT

Wiz Khalifa and Bobbi Kristina

Not only did he win his first major award for Top New Artist, Wiz Khalifa also made some new friends at last night's Billboard Music Awards. The Taylor Gang leader and his fiancée Amber Rose mingled with Whitney Houston's daughter Bobbi Kristina ("Bobbi Kris Is Such A Sweetheart"), Taylor Swift ("Me N Taylor Gang"), Justin Bieber, Mike Tyson, LMFAO's SkyBlu, and Whoopi Goldberg backstage at the MGM Grand in Las Vegas.

"Best Night Of My Life So Far," tweeted Wiz. "Im Trippin Off All The People I Hugged."

Check out photos from his celebratory night below.

Taylor Swift and Wiz KhalifaJustin Bieber, Wiz Khalifa, and Amber RoseAmber Rose, Wiz Khalifa, and Mike TysonWiz Khalifa and Whoopi Goldberg

Burudanikilasiku-Entertainment,Latest Music, Celebrity News, Fashions,TV shows and Video 9out of 10 based on 10 ratings. 9 user reviews.

 
Design by Wordpress Theme | Bloggerized by Free Blogger Templates | coupon codes